Namtafuta

Namtafuta

chetuntu

R I P
Joined
Jan 10, 2011
Posts
949
Reaction score
111
Wanajamii namtafuta bwana Luoman Dulle aliondoka Tanzania miaka ya 1998-1999 kuelekea marekani. Kama kuna mdau anamfaham please aniPM. Akhsanteni.
 
Mimi simfahamu ila jaribu ku-google hilo jina unaweza kukuta ana facebook au tweeter akaunti.
 
mkuu marekani kubwa, hujui hata alienda state gani?
 
Back
Top Bottom