Rafiki wa kiume,
umri kuanzia 18 na zaidi,
Ajue kusoma na kuandika,
wasifu wangu,
mwanamke mrebo,
nina miaka 44,
najua kusoma na kuandika,
tuwasiliane niaje4u@gmail.com
Rafiki wa kiume,
umri kuanzia 18 na zaidi,
Ajue kusoma na kuandika,
wasifu wangu,
mwanamke mrebo,
nina miaka 44,
najua kusoma na kuandika,
tuwasiliane niaje4u@gmail.com
Miaka 44 unataka kijana wa miaka 18 na kuendelea mmh angalia usije ukatafuta tena baada ya siku kadhaa..
Rafiki wa kiume,
umri kuanzia 18 na zaidi,
Ajue kusoma na kuandika,
wasifu wangu,
mwanamke mrebo,
nina miaka 44,
najua kusoma na kuandika,
tuwasiliane niaje4u@gmail.com
Kipato chako please !!!!!!!!!!!!!!,kikifahamika itakuwa ulimbo tosha kwa vijana.
miaka 44 anataka mvulana kuanzia miaka 18.........................kweli mapenzi hayachagui umri,kabira wala rangi ila jamani tuangalie!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hapendwi mtu wewe,Kweli maoni ya watu...duh wanataka ku-fall in love with pockets
Kwenye hoja,Nakutakia kila la Heri dada,kuwa makini tu ktk huu mchakato maanake.......
miaka 44 anataka mvulana kuanzia miaka 18.........................kweli mapenzi hayachagui umri,kabira wala rangi ila jamani tuangalie!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu, nakushauri usiangaike kumtafuta,hiki ni kipindi kibaya sana kwa members wa JF angalia usije jikuta pabaya! Ki la kheri mpwa!Dah hii tender hii ngoja nijilipue kabisa
Mkuu, nakushauri usiangaike kumtafuta,hiki ni kipindi kibaya sana kwa members wa JF angalia usije jikuta pabaya! Ki la kheri mpwa!