namtafutia mtu mchumba

namtafutia mtu mchumba

mzurisana

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
133
Reaction score
27
she is my friend, alikuwa na mahusiano na mwanaume wakaachana, sasa hivi hajabahatika , wale wanaomtongoza sasa hvi weng ni waume za watu so inakuwa ngumu kuwa nao, sifa zake ni msichana black beauty, 23yrs old, anapatikana dar na mwanza, ni mwanachuo wa mwaka wa pili, kwa maelezo zaidi unaweza kuni PM, (this is serious)
 
Mshauri amalize chuo kwanza, ana haraka gani? Yaani baada ya ku break up anataka mwingine fasta!!!!! Halafu akimaliza chuo atafute mwenyewe, mchumba sio nguo ya kumtafutia mtu.
 
Nashangaa... Hivi wewe unamtafutia mchumba, unamjua kiasi gani? kwa nini yeye mwenyewe asijitafutie alafu wewe uishie kumshauri? this is not right...
 
hii sasa mpya kabisa...
Unamtafutia kwa nini?? Si atafute mwenyewe???
Nahisi wewe ndiye mtafutaji... Kila la kheri mpendwa...
 
Mshauri amalize chuo kwanza, ana haraka gani? Yaani baada ya ku break up anataka mwingine fasta!!!!! Halafu akimaliza chuo atafute mwenyewe, mchumba sio nguo ya kumtafutia mtu.
wee ulimaliza kwanza chuo?
 
Mm namhitaji jmn...ni pm ww unipe details zake zaidi. Its serious
 
she is my friend, alikuwa na mahusiano na mwanaume wakaachana, sasa hivi hajabahatika , wale wanaomtongoza sasa hvi weng ni waume za watu so inakuwa ngumu kuwa nao, sifa zake ni msichana black beauty, 23yrs old, anapatikana dar na mwanza, ni mwanachuo wa mwaka wa pili, kwa maelezo zaidi unaweza kuni PM, (this is serious)
niPM unipe details zake,namhitaj huyo
 
Ni pm nikupe details zangu huenda akanifaa...
 
Mchumba hachaguliwi mtu huwa anachagua mwenyewe kwani kila mtu anamiono tofauti na mwengine.hivyo utashi wk ni tafauti na wakwake.mwambie wachumba wapo lkini elimu ni muhimu muda ukifika atapata tu.harakaharaka haina baraka
 
Ukweli namuhitaji na tangazo nimeweka,
ila sasa napata utata kidogo na wewe kama dalali,
Huku dar dalali lazima na yeye afaidia kile anachokipata mwenye mali japo yeye si sana, wewe terms zako zikoje?
 
Back
Top Bottom