Namtaka mwanamke wa kuoa, mwenye akili timamu

Namtaka mwanamke wa kuoa, mwenye akili timamu

Midazolam

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
807
Reaction score
1,340
Ndio, namtaka mwanamke wa kuoa, mwenye akili timamu, narudia kusema mwenye akili timamu.

Umri kuanzia miaka 22 mpaka 30. Mimi mwenye mi pia nipo kwenye hiyo miaka. Awe Dar es Salaam

Kingine akubali kwa ridhaa yake kupima magonjwa, maana sitaki skrepa Mimi[emoji1][emoji1]ndio nipo makini katika hilo.

Nimechoka mapenzi ya mbali na nimeshaumia kwenye penzi la mwanzo.

Sifa zangu mi ni mrefu, mwanaume mweusi, handsome, nimeshika sana dini, mpole, msikivu na mpambanaji

Ndio nataka mamangu afurahi maana anataka nioe na Mimi nimeridhia kabisa naona mda umefika.
 
Kuwa makini mitandaoni humu “ usije ukaoa mwanaume mwenzako
 
Mkuu Hili neno lako la
"nimeshaumia sana kwenye penzi la mwanzo" litakukosesha mwanamke wa maana wa kumuoa[emoji4]
 
Mkuu hili nalo si utabiri kabisa?. We si mtabiri au?. Mkeo hujamuona mpk leo [emoji23][emoji23]
 
Unawowa ili mom afurahi sio, na sio wewe na mkeo mfurahie maisha?. Unajitafitia bomu likulipue.
 
Back
Top Bottom