Namtamani Wema Sepetu

We unadhani kumpata wema utamtongoza mkuu mpaka akuelewe we tafuta pesa za kutosha mtafute unagonga mzigo kiulainiiiiiiiiiiiii !!! Ila kama utabaki na kutongoza utaishiaa kuangalia tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahsante kwa ushauri
 
Hukuti kitu pale mkuu!ongea na tamaa zako wapo wazuri tu nbona zaidi ya wema Hapo mtaani kwako.u r looking at the wrong direction at the right time
 
Hukuti kitu pale mkuu!ongea na tamaa zako wapo wazuri tu nbona zaidi ya wema Hapo mtaani kwako.u r looking at the wrong direction at the right time
Nataka hivyohivyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…