Namtauta Dr Karim kwa ajili ya tohara ya mwanangu

Uswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,204
Reaction score
627
Namtafuta Dr Karim, nasikia ni daktari mzuri sana kwa tohara za watoto, nimeelekezwa yuko upanga lakini aliyenielekeza hajui ni upanga sehemu gani, kama kuna mtu anajua sehemu clinic au hospitali ya huyu Dr ilipo anisaidie tafadhali.
 
Nakushauri mpeleke mwanao kwenye hospital yoyote hata Muhimbili apate tohara. Siyo lazima umtumie dr usiyekuwa na hata address yake, otherwise hii ni promo tu.
 
Mtoto wako ni wa jinsi gani, maana tohara kwa watoto wa kike haziruhusiwi,
 
Kuna Dr. Juma, huyu maarufu sana kwa tohara, dakika moja kafunga kazi, ana clinic yake pale club ya Pan Africa, mtaa wa Swahili na Kariakoo, Kariakoo Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…