Namtesa sana uyu mwanamke sijui nimfanyaje

Namtesa sana uyu mwanamke sijui nimfanyaje

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,113
Reaction score
4,658
Habari wana jukwaa LA mapenzi mubashara,in nature Mimi ni mwanaume mpole sana mwenye aiba na sio muongeaji sana,

Sasa hapa mtaani kuna Demu naona anapata shida sana
1:Akiniona tu ataniangalia kwa tabasamu hadi nazama
2:Nikipita tu ataniomba anisindikize ninapo kwenda
3:Akiwa ana kitu nikipita ataniomba nimsaidie hata kma kidogo
4:nikishika kitu nakula ataniomba tu
5;Nikipita karibu yake atafanya chochote nimuangalie hata kunigusa
6:Nikishika kitu atakirukia tu nimuachie
7:ananiangalia hadi wenzake wanamshitua
8:Anapenda kuniomba vitu
Kusema ukweli namuona kabisa ana teseka juu yangu na uyu sio mwanamke wa kwanza kunifanyia mambo aya
 
Beba kabisa chupa za kyjelly maana marindious yako yanaweza yakachanwa dakika yo-yote ile.
 
Tafadhari , uwe unabeba kabisa chupa za kyjelly maana marindious yako yanaweza yakachanwa dakika yo-yote ile.
 
Habari wana jukwaa LA mapenzi mubashara,in nature Mimi ni mwanaume mpole sana mwenye aiba na sio muongeaji sana,

Sasa hapa mtaani kuna Demu naona anapata shida sana
1:Akiniona tu ataniangalia kwa tabasamu hadi nazama
2:Nikipita tu ataniomba anisindikize ninapo kwenda
3:Akiwa ana kitu nikipita ataniomba nimsaidie hata kma kidogo
4:nikishika kitu nakula ataniomba tu
5;Nikipita karibu yake atafanya chochote nimuangalie hata kunigusa
6:Nikishika kitu atakirukia tu nimuachie
7:ananiangalia hadi wenzake wanamshitua
8:Anapenda kuniomba vitu
Kusema ukweli namuona kabisa ana teseka juu yangu na uyu sio mwanamke wa kwanza kunifanyia mambo aya
Wanaume wa Dar buana[emoji41]
 
kyjell ndio nini inawezekana ndio mchezo wako kufumuliwa

Sasa hujui maana ya kyjelly unaelewaje kuwa ni kufumuliwa!?

Any way, life is all about choice, if you chose women/girls to run after you hence, you are very close to get your award.
Endelea vivyo hivyo utapata unachokitafuta kwa wanawake.
 
Back
Top Bottom