Habari wana jukwaa LA mapenzi mubashara,in nature Mimi ni mwanaume mpole sana mwenye aiba na sio muongeaji sana,
Sasa hapa mtaani kuna Demu naona anapata shida sana
1:Akiniona tu ataniangalia kwa tabasamu hadi nazama
2:Nikipita tu ataniomba anisindikize ninapo kwenda
3:Akiwa ana kitu nikipita ataniomba nimsaidie hata kma kidogo
4:nikishika kitu nakula ataniomba tu
5;Nikipita karibu yake atafanya chochote nimuangalie hata kunigusa
6:Nikishika kitu atakirukia tu nimuachie
7:ananiangalia hadi wenzake wanamshitua
8:Anapenda kuniomba vitu
Kusema ukweli namuona kabisa ana teseka juu yangu na uyu sio mwanamke wa kwanza kunifanyia mambo aya