namuacha.. haachiki

Ushauri wa paka mmoja kwa paka mwenzake ?

Saa zingine hiyo ya kutopokea simu na kutojibu sms haisaidii kuna demu mmoja baada ya kumuacha kwa miaka miwili bado akawa anatuma sms na kupiga simu sipokei/sijibu lakini haachi.

Yani hawa paka bwana, halafu ona wasivyokuwa na huruma, si amsamehe tu jamani.
Kosa ni Kosa tu jamani.
 
usipokee simu zake
usijibu message zake
usiende unapodhani atakuwepo nk

ataumia lakini baada ya muda atazoea
 
Mkuu hayo ndio maisha ya ndoa, huwezi kupata perfect na hayupo, ni siri kubwa ya ndoa ni kuwa, tofauti lazima iwepo, yaani wewe ukiwa mpole basi yeye lazima awe mkali ili mwisho wa siku muwe neutral katika kuombana misamahaa na vitu kam hivyo,
angekuwa anamegwa na njemba zingine ingeluwa bonge la sababu lakini hilo la hasira, mvumilie tu
 
Yani hawa paka bwana, halafu ona wasivyokuwa na huruma, si amsamehe tu jamani.
Kosa ni Kosa tu jamani.




Mama tuna huruma sana,na kwa kawaida ushauri huwa unatolewa kulingana na muomba ushauri alivyouliza,kwa mfano kuna mwanamke aliniomba ushauri afanyeje ili aachike kwa mumewe nikamwambia akipika chakula cha mumewe kama ni kila moja ya mchele basi aweke chumvi nusu kilo,na kama ni nusi kilo ya mchele basi aweke chumvi robo kilo na kama ni vikombe viwili basi aweke chumvi kikombe kimoja,alivyofanya hivyo wala hakumaliza wiki akapata talaka yake.
 

Haya baba ushauri.
 
Inahitaji moyo sana,ila itapita.kuwa na msimamo,mwanamke kukuita shoga ni ishu,ni dharau ya mwisho?sipigilii msumari but matusi yako mengi,why shoga?Limtokalo mtu ndilo liujazalo moyo wake. You deserve better!

hajatuambia why aliitwa shoga,,,why? kwanini?
 
ongeza bidii katika maombi yako (kama unamtumaini Mungu) huenda huyo ndiye ubavu wako. try to search for any reason to marry her, if you dont find any, ask her to search for any reason to marry somebody else, then formulate the respective null and alternative hypotheses and use heart square test at 95% degree of significance to conclude on the drawn inferences. if the results are such that love in your heart is greater than the critical value, at the given degree of significance, then accept the null hypothesis and reject the alternative one on your side and repeat the same process for the other side and then come back with sound judgement we will assist you to part with her smoothly

anyway,

nimezungukazunguka sana na research methodology, ila kiukweli sioni sababu kwa nini usimfikirie huyo rafiki yako positively? wewe hujawahi kukosa na kujutia makosa yako? yeye alikosa mara tatu na kajuta na kutubu, who are you to block mercy for the poor girl? how many times do you consider maximum to do wrong and be accorded forgiveness? God had never set that upper limit, why do you do? my dear, its time to nourish you relationship and seek God's support and blessings to you all. you never know, you may not get any other! stay blessed
 
Karibu na wewe nikushauri lakini sio hapa jukwaani na itabidi ukubaliane na masharti ya ushauri.

Sawa baba, kwanza masharti yako wewe wala si magumu kivileeeeeeeeeee!
 

daaaa haya maneno ni ya msingi sana kama muathirika atakubali kuyafanyia kazi.
Unajua Shetani hapendi kitu kizuri kitokee katika maisha yetu.

Hasa hasa kwene swala zima la ndoa, atahakikisha umemuacha mtu sahihi, umemchukua/mkubali mtu ambaye sio kabisaaaaaa.
So ni vizuri kumshirikisha Mungu mpendwa. Majaribu yapo na yataendelea kuwepo lakini ni jinsi gani una fight kuyashinda hayo,
mavikwazoooooooo. Kama kweli umefikia mwisho wa nguvu, uwezo, akili zako na Mungu umemuomba basi endelea na maamuzi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…