Namuangalia NYERERE ITV

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,422
Reaction score
7,350
Huyu mzee ni LuLu naangalia jinsi gani alikua na busara,ITV wanaonyesha matukio mbalimbali
CC@Ritz
FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
True that...I'm watching too n I just wish angekuepo bado,May he rest in peace.
 
This person was very much gifted. His speeches arw always alive.
 
Hakuna lolote lenye maana kwa huyo mzee, angekuwa na la maana asingeifikisha Tanzania kuwa omba omba.

Huyo unaemramba viatu kafanya nini kutuondoa katika kuomba omba,mfano wewe umazaliwa katika familia masikini!je wewe ukiendelea kuwa masikini je utamlaum babu yako?
 
Huyo unaemramba viatu kafanya nini kutuondoa katika kuomba omba,mfano wewe umazaliwa katika familia masikini!je wewe ukiendelea kuwa masikini je utamlaum babu yako?

Sasa umlaumu nani? Kikwete?
 
watanzania tunakukumbuka BABA WA TAIFA
 
Huyo unaemramba viatu kafanya nini kutuondoa katika kuomba omba,mfano wewe umazaliwa katika familia masikini!je wewe ukiendelea kuwa masikini je utamlaum babu yako?

mkuu huyo kilaza utabishAna nae asubuhi! ubongo wake umeshaharibiwa na mzee wa NGANO MOHD SAID
 
watanzania tunakukumbuka BABA WA TAIFA

Kwa mengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…