johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
U.emjibu vyema mpuuzi, mzushi na mnafiki huyuKatiba inazuia wewe kuchambua? Kama unaona wakina Zitto Kabwe hawachambui ingia chambua wewe kwani Zitto Kazaliwa ili aje kuchambua bajeti? Anavuta Oxygen kama wewe na ana nanihili kama wewe
Tangu lini Kenya ikawa TanganyikaKwa sasa kwenye kambi ya Upinzani Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndiye mwenye uwezo wa kuchambua mambo ya kiuchumi baada ya Prof Lipumba kuyumba
Lakini namuangalia Odinga hapa Citizen tv namuona Zitto kama chekechea kwa kweli
Lakini Huyu Zitto kasoma Ilboru shule ya Kanisa ile ya Vipaji sasa labda huwa anafanya makus
RAILA ODINGA alipaswa kuwa RAIS WA JAMHURI YA WATU WA KENYA 🇰🇪.Kwa sasa kwenye kambi ya Upinzani Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo ndiye mwenye uwezo wa kuchambua mambo ya kiuchumi baada ya Prof Lipumba kuyumba
Lakini namuangalia Odinga hapa Citizen tv namuona Zitto kama chekechea kwa kweli
Lakini Huyu Zitto kasoma Ilboru shule ya Kanisa ile ya Vipaji sasa labda huwa anafanya makusudi
Mlale Unono!