Namuelewa sana mtangazaji Doreen Andy wa Clouds Media

Namuelewa sana mtangazaji Doreen Andy wa Clouds Media

Kidawa_hiphop

Senior Member
Joined
Jul 7, 2018
Posts
184
Reaction score
274
Mwenye namba zake huyu binti mwenye sauti laini au ni jinsi gani naweza kuwasiliana nae anisaidie washkaji zangu.

Instagram hajibu DM na pia kama yupo humu naomba anitafute hata private

DSdqkatW0AEARv5.jpg


ZPGNvaTO_400x400.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia rahisi uende kwenye ofisi zao,unatafuta namba zake humu?
 
Doreen Andrew alikuwaga queen wa salasala huyu kipindi cha utawala wa king zila......godzilla...embu mtafute godzilla akupe namba ya XYZ wake
 
Kuna nyuzi ililetwa huku kwamba zila dish limeyumba baada kupigwa kibuti inamaana demu mwenye ndiyo huyu?
Ndo yeye of course ni wakawaida tena sana tu, ila balaaa lake akiongea, nadhani wadau wa 255 enzi zake wanamjua wakuambie
 
Kizuri Kula na mwenzako!!

Ukipata namba na mimi unitumie aiseee😀😀
 
Back
Top Bottom