Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 184
- 274
Kuna nyuzi ililetwa huku kwamba zila dish limeyumba baada kupigwa kibuti inamaana demu mwenye ndiyo huyu?Doreen Andrew alikuwaga queen wa salasala huyu kipindi cha utawala wa king zila......godzilla...embu mtafute godzilla akupe namba ya XYZ wake
Ndo yeye of course ni wakawaida tena sana tu, ila balaaa lake akiongea, nadhani wadau wa 255 enzi zake wanamjua wakuambieKuna nyuzi ililetwa huku kwamba zila dish limeyumba baada kupigwa kibuti inamaana demu mwenye ndiyo huyu?
yap... ndio huyu kiongoziKuna nyuzi ililetwa huku kwamba zila dish limeyumba baada kupigwa kibuti inamaana demu mwenye ndiyo huyu?
Godzila alikuwa anampalaza tu mtoto wa watu mpaka kamkimbia