Namuhurumia sana mpenzi wangu wa zamani

Namuhurumia sana mpenzi wangu wa zamani

ajaymsomali

Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
92
Reaction score
23
Salama wanajamvi, Nilikua na msichana mmoja tangu darasa la 7, sekondari na hata sekuwah ku do nae ad tulpomaliza form four nilimpenda na nilmwamini sana kabla yaku do aliniambia yeye ni bi.k.ra lakini sio kweli baada ya ku do.

Upendo wangu kwake ulipungua ila yeye alizdi kunipenda na kunisisitiza kua nisimuachesababu nitamuumiza sana, aliasa sana mimi na yeye kuoana, baada yakumaliza form four yeye alienda Nairobi mimi nikaja Dar es salaam, tuliendelea kuwasiliana na kupeana matumaini, alihamishiwa Iringa na badae tanga kikazi nilienda siku moja nakurudi baada ya siku ya pili.

Neno lake llkua lile lile mimi na yeye tuje kuona, mimi siko facebook sababu a don like it na yeye anatambua ilo, 1 day nlichukua simu ya mtu na kuingia kwenye page yake, nilkuta ka post picha ya jamaa mmoja kwenye page yeke, nelimuuza akanambia yeye mwenyewe hamjui sikuwa na maneno, mimi na yeye tuko dini tofauti na alikubali kua atabadili dini.

Nimemtumia 2100 text through Watsap na kumwambia aachane na mimi na akipata mwanaume aolewe, kalalamika sana na kunikumbushia mambo mengi tuliyoahidiana namuonea huruma kiasi fulan ila nisingependa awe mama wa wanangu ila anatia huruma

Please matusi sio mazuri.
 
Mapenzi siyo kuhurumiana, ni kupendana kwa moyo mmoja. Kama ushaona huna nia nae ni kheri umuache tu atafute ustaarabu wake.
 
Matusi gani hutaki ?

nani anayetukana watu

kwa mwandiko huu rudi darasa la kwanza katika somo la mwandiko
 
Jinga kabisa kwanza hapa sio jukwaa husika
 
Watoto wa siku hizi wanaanza mahusiano bado wadogo khaaa yan darasa la saba!!!
 
Umeandika kihuni sana dogo, Kwani ulikuwa unakimbizwa na nani wakati unaandika? Utakuja kuandika barua ya kuomba kazi kihuni kama hivi ulivyoandika. Unaandika kama kuna limit ya maneno hivyo unajitahidi kufupisha ili uandike yote uliyotaka kuandika. Hapa hakuna limit unaandika vile utakavyo.
 
Tatizo wanaume mmekariri kumtoa bikra mwanamke adi damu itoke kumbe ndivyo sivyoo
 
Back
Top Bottom