Namungo FC msipotezwe na upepo wa Tetesi za wachezaji waandamizi kusimamishwa kazi, huo ni mtego kuweni makini

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Baada ya kocha Robertinho kusimamishwa kazi, Kuna tetesi zipo kuwa Kuna wachezaji waandamizi watano nao watafukuzwa.

Mzee wa Propaganda NALIA NGWENA najua huo ni uzushi na ni mbinu pekee kwa Simba sc kufurahisha mioyo ya mashabiki waonekane kuwa hawakufurahishwa na kipigo Cha goli 5.

Namungo Fc nawatahadharisha mapema jikiteni katika kufanya mazoezi ili mkabiliane na Simba sc ikiwezekana mpige kwenye mshono.

Nawatahadharisha mapema endapo mtaingia kwenye mfumo wa Simba sc Basi hasira zote zitaishia kwenu kuweni makini sana.

Simba sc bado wanandoto za kuchukua ubingwa maana gemu ya Namungo Fc ni gemu muhimu sana, Namungo msibweteke mkajua kuwa Simba sc wamekata tamaa kwani mkifanya hivyo mtafungwa hata goli kumi.

NAMUNGO FC MSIINGIE KWENYE MTEGO /TETESI NA PROPAGANDA ZA SIMBA SC KUWENI MAKINI.
 
Wakicheza mpira wao wa ajabu ajabu, haueleweki, wachezaji baadhi hawajitumi kwa bidii mchezoni , ustaa mwingii, wanaenda kula goli mbili bila
 
Ni mechi muhimu sana kwa simba na wachezaji kutaka kuonyesha kuwa kilichotokea ni bahati mbaya sana. Namungo anaenda kukutana na simba aliyejeruhiwa. Unless kuwe na tatizo kubwa kambini, uwezekano ni Namungo kufungwa goli 3 na kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…