Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Wakuu Habari zenu?
Maana ya neno Killer ki Hebrew ni "Rotzach" na "southern." ni Dromi" kwa Pamoja ikimaanisha "destroyer of the south."
Kwenye mpira wa miguu kumekuwa na nickname kwenye majina ya timu mfano Liverpool wanaitwa The Reds (Liverpool) wakirifaa hiyo red jerseys yao. Manchester United wao wanaitwa The Red Devils wakimaanisha , Evokes a sense of power and fear.
FC Barcelona wao wanaitwa “Catalan” for "Blue and Garnet," wakirifaa hiyo rangi ya club yao.
West Ham United wanaitwa The Hammers wameitoa kwenye shughuli za maeneo waliopo kwenye historia hilo eneo lao lilikuwa na mambo hayo ya uhunzi(fundi chuma).
Bayern Munich wao wanaitwa The Bavarians , Highlighting the team's regional identity in Bavaria.
Arsenal wao wanaitwa The Gunners referencing the club's historic association with a Royal Arsenal.
Manchester City waowanaitwa The Citizens wakimaanisha A nod to the team representing the city of Manchester.
msimu wa 2022/2023 wa NBC Tanzania league timu ya namungo ilifungua uwanja wao nyumbani wa mpira wa miguu na katika ufunguzi ule kuna jina lao lingine waljiita ‘the southern killers’
Kauli ya namungo ya wauwaji wa kusini(The home of southern killers),ilikuwaje wakachagua hilo jina.Ukiwa unachagua hayo majina ya kujiita lazima uangalie na mahusiano ya timu na hicho kitu au kauli utakayojiita,sasa wauaji wa kusini inamaana gani na timu? maana waswala ya kutoa roho za watu sio kitu cha kuleta utani wala kujiita kwenye mchezo kama mpira wa miguu.
Walikosa majina ya kujiita? Kuna kauli za kibabe ila sio za kuuwa yaani killer,mzungu hapo lazima atauliza hivi ilitoka wapi hiyo kitu kumbe ilikuwa watu na mihemko yao tu.
Halafu timu kama hizo wanasema kwanini hatuzishangilii na hazina mashabiki sasa wauwaji wa kusini mimi wa nini, kama vile maala mia.
Wameona ujanja kwa soka la kisasa kujiita hivyo,wakaona wajiite kwa kiingereza kabisa kwanini isingekuwa Kiswahili kama timu zingine zilizoendelea(zilizowatangulia) kama simba na yanga wekundu a msimbazi na wanajangwani. lakini kwa vizazi vijavyo bado killer bado sio jina lenye maana nzuri au itakuwa hawajaelewa zile kauli zinakuwa zinatakiwa ziweje kuhusisha na timu ya mpira wa miguu sio ndondi zile.
Tufikilie mara 2 mbili kauli/majina za kujiita kwenye timu zetu aisee, ndio maana timu zenu hazina mashabiki kwasababu ya kauli hizo,
sitashangaa hiyo timu baada ya miaka 15 haitakwepo tena. hapo wauwaji wa kusini naelewa kwamba huko kuna watu walikuwa wauwaji wapo huko kusini sasa wameanzisha timu yao au walikuwa wanajeshi wa sasa wanaendesha timu yao wako huko kusini.
Au kuna kikundi cha wauwaji kiko kusini kimeanzisha timu yao.
Hizo kauli zimenikumbusha miaka hiyo timu zetu za mtaani unakuta tunajiita mbuzi kalamba reli au ninja kidisi(ninja kids), yaani majina ambayo ukifatilia wahusika walioleta hilo jina utangundua walikuwa hawako sawa kichwani.
Hapo kwenye hiyo wauwaji wa kusini unakuta ni mtu mmoja ameamua halafu anataka ionekane ni ya wote hiyo kauli ili yeye asipate aibu hiyo ya jina kutokuwa na maana yoyote.
Najitahidi kuelewa alikuwa anamaanisha nini na hiyo kauli ya killer nashindwa au alikuwa anamaanisha wao watakuwa wababe wa kusini kule yaani ukienda kule utafungwa tu kama ndio hivyo ndio wangejiita hivyo au wewe mwenzangu ulikuwa umeelewaje hiyo kauli ya wauwaji wa kusini?