Namungo FC VS Simba SC

Kitambi chakufutia tachi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
1,063
Reaction score
2,566
Assalamu Alaykum.

Kheri ya EID EL FITR wana jf wote leo itachezwa mechi kali kati ya NAMUNGO FC watakaoikaribisha SIMBA SC katika uwanja wa ILULU mkoani LINDI majira ya 10:00 jioni.

Kwa masimulizi mubashara ya mtanange huu wa kukata na shoka baki katika uzi huu.

EID MUBARAK.

KIKOSI CHA SIMBA.
1.MANULA
2.KAPOMBE
3. HUSSEIN
4. ONYANGO
5.INONGA
6.MKUDE
7.KIBU
8.MZAMIRU
9.BWALYA
10.BANDA
11.KAGERE

WACHEZAJI WA AKIBA.
BENO ISRAEL GADIEL WAWA NYONI SAKHO MUHILU BOCCO MORISSON.
 
Uzi umepoa sana, haya ndio madhara ya timu moja ku dominate ligi kwa gape kubwa kiasi cha mechi za timu zingine zinaonekana kama wakamilisha ratiba tu
 
Makolo. Wamekalia chuma cha doshi kwa namungo
 
Jamani mtanipa matokeo,Leo tuna Mechi ngumu sana hapa Newala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…