JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Namungo Fc inamtakia kila la kheri Kocha Denis Kitambi katika safari yake ya ukocha nje ya Namungo Fc.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamtaka pira OBJEKTIVU.Alianza Cedric Kaze, na sasa ni Dennis Kitambi! Bila shaka kuna kitu kipo nyuma ya pazia, na ambacho wadau wengi hatukifahamu.
Sportpesa ni international betting company. Financial muscles anazo. Hawezi kulinganishwa na hizi local company.Nje ya Topic: Hivi market share ya Sportpesa katika tasnia hii ya kamari ni kubwa kiasi gani kwani inadhamini timu nyingi sana kwenye Premier League; nadhani ni pamoja Yanga, Namungo, Singida. Kampuni nyingine inayodhamini michezo ni MBet tu wakati Tanzania ina makampuni lukuki ya kamari. Je Sportpesa ndiyo inayotawala biashara ya kamari nchini?