Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Yanga inafundisha vitu vingi, boli safi hadi utengenezaji wa jezi nzuri.Timu ya Namungo imeutambulisha uzi wao ambao utatumika kwa msimu ujao wa ligi kuu ya#NBCPreamierLeague View attachment 2692461
Mbona kama Yanga, au ni macho yangu tu.Timu ya Namungo imeutambulisha uzi wao ambao utatumika kwa msimu ujao wa ligi kuu ya NBC Preamier League