Shadida Salum
Journalist at JamiiForums
- Sep 11, 2020
- 69
- 105
Mchezo wa kombe la shirikisho kati ya De Agosto dhidi ya Namungo umemalizika katika Dimba la Azam Complex Chamanzi jijini Dar es salaam.
Katika mchezo huo ambao Namungo ilikuwa ugenini imefanikiwa kumuadhibu De Agosto bao 6-2.
Mchezo mmoja umesalia ili kukamilisha hatua hiyo ya mtoano ambapo mshindi wa jumla atatinga katika hatua ya makundi ya michuano hiyo.
Mchezo wa pili unatakiwa kuchezwa ndani ya masaa 72.