Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakutana na timu iliyodondoka kutoka klabu bingwa. Play offWatakutana na nani hatua ya mwisho ya mtoano?
Hapo ndio kipengele.Itakutana na timu iliyodondoka kutoka klabu bingwa. Play off
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Ndicho kinachoharibu soka la bongo. Kuna watu hawana kazi yoyote ile zaidi ya unyonyaji wa hizi timu.Tatizo hela ndiyo zinavuruga klabu za Tanzania. Wapiga dili sio poa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uzalendo mwisho leo tu kwa Namungo
Sana I see,hongera zaoAisee wamejituma sana