Namungo yasonga mbele

Tatizo hela ndiyo zinavuruga klabu za Tanzania. Wapiga dili sio poa
Ndicho kinachoharibu soka la bongo. Kuna watu hawana kazi yoyote ile zaidi ya unyonyaji wa hizi timu.
Unajiuliza hivi kama namungo kaweza vipi hizi za kariakoo tangu mwaka 35 na 36.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…