Uko Kama,Mimi...Tangu enzi na enzi ni Simba ...Yanga ..Wafike Hata Fainali Ili Wakate Ngembe Za Simba Na Yanga
Milioni 600 Kama wataingia kwenye makundiSimba wanatamba kupewa tshs 1.3bln Namungo wao wanapewa ngapi?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Mikia wanashindwa na hao madogo
Tatizo mazee yao mengi
kweli tumeiona aibuHongera kwa Namungo, tunasubiri aibu kwa Nchi kesho toka kwa Mwamedi fc