Namuogopa X wangu

Maelezo yako yanaonesha bado mnapendana, malizen tofaut muendelee mlipoishia.
 
Ngoja nitafsiri ulio yaandika kwa nilivyo ona between the lines.
1- X wako ni mtu mzima na amekuzidi umri sana.
2- X wako ni mume wa mtu na anafamilia yake.
3- X wako bado unampenda.
4- X ulimuacha kwasababu hauoni future.
5- X unaona bado kama kwasasa anakupotezea muda.
 
Mrudishie Vitu vyake hatokusumbuwa tena.
 
bado unampenda Acha kutusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…