Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Hee!!! Unamaanisha nini?Waliouawa!!
Hawajulikani walipo inatosha...
Anamaanisha, hakuna mtu anaweza kukaa na dead body kwa muda wote toka walipopotea. Kama waliuawa kikatili, dhana inaonesha watakuwa walizikwa kikatili pia (kuyeyushwa kwenye asidi, kuchomwa moto na kuwa jivu) nk. Kwa hiyo kinachoombwa, kiuhalisia, kinakuwa kigumu kupatikanaHee!!! Unamaanisha nini?
Huenda walikwisha gawana vichwa.Najua kuna wengi wa machawa wako wanakusifia kwa kila aina ya uzuri, msikivu, mpenda watu, mwenya maono, chaguo la Mungu, kiumbe bora na mengine. Basi, kuonyesha ukweli wa sifa hizi waonee huruma ndugu wa wahanga wa utawala wa kinyama na kishetani uliotumia wasiojulikana kuwaua au kuwapoteza. Nimetoa majina mawili hapo juu kama kiwakilishi cha waliouawa na serikali ya kishetani.
Tulia CHAWA,kua na heshima kidogo gentleman,
porojo za drama za kizushi kama hizo potoshaneni wafuata mkumbo wenyewe kwa wenyewe gentleman π
Ni ngumu sana Mtuhumiwa kubaki na kidhibitiIngekuwepo lazima wangefanya namna ipatikane ila bila shaka haipo.
Mkuu nimerelax mkuu Tlaatlaah kimya sana pm kiongozi ππ₯just relax then gentleman π