Namuombea Msamaha in advance Kipa Kinda wa Simba SC Ally Salim kwa Goli nyingi atakazofungwa Morocco

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Siyo tunafungwa Goli 10 au 17 na Wydad Casablanca FC Siku ya Jumamosi tarehe 29 April, 2023 huko Kwao nchini Morocco halafu tunaanza Kumchukia na Kumlaumu Kipa Wetu Kinda ambaye nimembatiza rasmi Jina la Juma Kaseja Mpya.

Sijui nitaficha wapi Sura yangu mie.
 
Mtafunga moja bila
 
Nafasi ya kutoboa kule kwao ni ngumu. Lakini naweka akiba maana maajabu yanaweza kutokea.
Simba nguvu moja.
 
Simba yaweza kupindua meza, na hata huyu dogo yuko vizuri Nina Imani nayo
 
LOPO LOPO huo mchezo itakuwa IJUMAA usiku kwa saa za Africa Mashariki.
 
Siyo tunafungwa Goli 10 au 17 na Wydad Casablanca FC Siku ya Jumamosi tarehe 29 April, 2023 huko Kwao nchini Morocco halafu tunaanza Kumchukia na Kumlaumu Kipa Wetu Kinda ambaye nimembatiza rasmi Jina la Juma Kaseja Mpya.

Sijui nitaficha wapi Sura yangu mie.
🤣🤣
 
Back
Top Bottom