NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
MWANAGU SAIVI UMECHANGANYIKIWA SIYO BURE.Bado hamjasema.....
Sisi wabibliani
Yesu anasema kila goti litapigwa na kila ulimi utakili.
Hakika bwana mdogo alibadilika aiseeJana mzize alibadilika kabisa
HAKIKA ANASTAHILI PONGEZINi kweli; bwana mdogo jana alicheza vizuri sana kwa kuzingatia maagizo ya mwalimu. Hakuwa na papara ya kukimbilia golini, bali kazi yake ilikuwa ni kuwasambaza pepmbeni walinzi ya Simba na kufungulia mianya kwa Max na Aziz kushambulia kirahisi
NGOJA TUONE BAADAYE HUYU BWANA MDOGONa ikumbukwe ki asili huyu huwa ni kiungo ndio maana Jana katoa pasi zenye utulivu uliopitiliza
ana nguvu,ana spidi na anafunfishwa sana pia na mayele kwa kupigiwa simu karibu kila sikuKongolee kwa bwana mdogo Clement Mzize kwa kiwango kizuri alichokionesha hakika huyu ndiye Mrithi wa John Bocco the living legend.
Katika mchezo wa Dabi katika yale magoli matano Basi bwana mdogo kahusika katika magoli mawili (assist).
Hii NI moja ya supersub Bora kabisa aliyoiingiza Master Gamond na ilikwenda kumlipa vyema.
Goli alilofunga Nzengeli lilitoka kwa Mzize na Goli alilofunga Azizi ki lilitoka kwa bwana mdogo Clement Mzize.
Pressing yake na kupungua kwa presha/papara anapokua golini bwana mdogo Clement Mzize hakika namuona mbali na ninatoa kongolee kwake.
View attachment 2806017
LEO KATUPIA GOLI LA KICHWA.ana nguvu,ana spidi na anafunfishwa sana pia na mayele kwa kupigiwa simu karibu kila siku
Kweli kabisa aiseeMzize ana nguvu, ana kasi! Umri bado unamruhusu. Akiongeza tu utulivu na ule uwezo wa mchezaji kujiamini kwenye maamuzi yake uwanjani, basi tutegemee makubwa kutoka kwake.