Namuona Dkt. Emmanuel Nchimbi PhD akipewa Cheo cha juu sana CCM na Chama kitasukwa Upya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa sasa na kizazi kilichopo Dkt. Emmanuel Nchimbi PhD Ndiye Gwiji la Siasa za CCM

Ni Imani yangu kuna nafasi kubwa pale CCM inamsubiri na Muda si mrefu CCM yetu itayarejea makali yake

Mlibwanji Imma? 😄😄🔥
 
Kwa sasa na kizazi kilichopo Dr Emmanuel Nchimbi PhD Ndiye Gwiji la Siasa za CCM

Mlibwanji Imma? [emoji1][emoji1][emoji91]

Nafasi za chama nyingi ni za kupigiwa kura siyo za kuteuliwa!
 
Kwa sasa na kizazi kilichopo Dr Emmanuel Nchimbi PhD Ndiye Gwiji la Siasa za CCM

Ni Imani yangu kuna nafasi kubwa pale CCM inamsubiri na Muda si mrefu CCM yetu itayarejea makali yake

Mlibwanji Imma? [emoji1][emoji1][emoji91]
Umemuonea wapi? Kafanya Nini?
 
Kwa sasa na kizazi kilichopo Dr Emmanuel Nchimbi PhD Ndiye Gwiji la Siasa za CCM

Ni Imani yangu kuna nafasi kubwa pale CCM inamsubiri na Muda si mrefu CCM yetu itayarejea makali yake

Mlibwanji Imma? 😄😄🔥
nchimbi nani anamjua ? Kwa lipi la kumfanya ajulikane? Moto wa bandari unadhani atautuliza?
 
Atakama atapewa ila sio chama cha kusimama kikiongozwa na Samia.

Samia ni mwepesi mno.
 
nchimbi nani anamjua ? Kwa lipi la kumfanya ajulikane? Moto wa bandari unadhani atautuliza?
Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa kubaini hatari iliyo mbele yake huwa haichukui muda anakufa..
CCM hii wameshapoteza uwezo wa kunusa kubaini hatari inayokuja mbele yao..nchimbi ndio wameona atakuwa mkombozi zaidi ya kina Lukuvi na wengine waliopo..ccm hawana muda mrefu litakalowapata labda watajifunza huko watakapokuwa.
 
Back
Top Bottom