Namuona Muarabu Al Ahly akiombea Simba SC imfunge AS Vita Dar

Kwani Mechi ijayo As Vuta si anacheza na Ahly?
 
Wacha ujinga ww.....
msiba wa jirani hauna mipaka kuzungumziwa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Safari ya nusu fainali inakuwa tumekula nauli
Ondoa hofu mkuu, tutaomba nauli kwenye timu ya Msuva.
 
Game ya jana wame draw kwa uzembe wao wenyewe, wamepoteza nafasi kibao, labda inaweza kuwa kuna figisu za chini hao wachezaji wanataka Mosimane aondoke, wanamchukua poa wakati akiwa na Mamelodi Mosimane aliwagonga 5 walipokutana.
Na mamelodi yamoto mno sasa ivi kawakanda mazembe kwao...
 
Kweli Mosimane anapigwa zengwe sana, hasa na wachezaji wa zamani wa Al Ahly, wale waarabu wanajidai wajuaji sana wakati wao kuifundisha hiyo timu hawawezi.
Jamaa kawatoa shimoni walikaa karibu miaka sita hawana ubingwa wa afrika leo wanamletea zengwe au sababu ya mshahara anaolipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…