Namuulizia Regina Mengi je ameolewa?

Namuulizia Regina Mengi je ameolewa?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Habari wana jukwaa
Leo naomba nimuulize huyu bibie regina mengi...Jee ameolewa?jee ana watoto...hali ya mahusiano jee....

Kwa mnaomjua tafadhali huyu bibie ni mpole sana anavyoonekana mstaarab na muungwana pia...
 
Unataka unyang'anye mke wa mtu tena tajiri afu ajazaa braza haujitakii mema
 
Kama kuna kitu ninakichukia ni kumezea mate mkate ulio dirishani kwenye kioo. Kumbe ni mtu kuingia dukani kuuliza tu kama huu mkate unauzwa au vipi. Basi mtokee kama tunavyo watokezea mabinti wengine tu. Mpe nasaha zake akusikilizie. Nadhani swali zuri ungeuliza ka kuna mtu anaifahamu ofisi yake tu ukamwone mwenyewe. Kwanza ushasema kuwa ni mpole sana. Woga wa nini au domo zege??
 
reg..regg.. Reginaaa Zanzibaar!

Regina yuko humu na nimeona AME comments
 
Back
Top Bottom