Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Nimeuzima sana na aya matakoe siisabikii tena manichesita yunitedi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fact well said.Man U ina wachezaji wazuri sana. Tatizo hakuna morali nzuri kwa wachezaji kupigania timu ... Pogba,Sanchez,Matic,Dea Gea,Martial,Lukaku na wengineo mishahara mikubwa sana na ni wachezaji waliofanya vizuri vilabu vingine na timu zao za taifa lakini kwa Man U hawafanyi vizuri. Tatizo makocha? Uongozi ? Au usajili wa wachezaji ambao hawathamini Nembo ya Timu na historia ya klabu.Man U ina pesa na ina wadhamini wakubwa na bado ina pata shida na timu ndogo na baadhi ya mechi walizoshinda ni kwa tabu. Itachukuwa muda kurudi kwenye kiwango chao. Hasa kwa kuwa vilabu vingi vina uwezo na mwendelezo mzuri. Sioni kama kocha wa Man U wa sasa ataweza kufanya maajabu. Miaka saba inapigania top four na mafanikio ni madogo mno.