BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
Huyo ni mpuuzi achana naye mkuuMusoma, Mkuranga, Masasi na Msoga kungekuwa na yafuatayo!..
Akili zao wanazijua wenyewe!Kwa hiyo kila Wilaya itoe Rais wake ili apendelee kwao? shame on you
Inaonekana ni mzee lakini huna akiliAkili zao wanazijua wenyewe!
Huyu siyo kiongozi ni mtawala wa hovyoNi vizuri ukamuunga mkono maana ana confidants wachache sana...
Mimi tena mkuu?Inaonekana ni mzee lakini huna akili
Musoma,Mkuranga,Masasi na Msoga kungekuwa na yafuatayo!
1.Uwanja wa mpira wa miguu wa Mkapa ungekuwa kijijini na si DSM!Tuseme tungekuwa na maviwanja hayo vijijini!..
Utakuwa hukunielewa,yaani nakuunga mkono kwenye comment yako halafu unanifokea?Unaandika upuuzi upuuzi mkuu
Samahani mkuu nimenukuu vibaya kiongozi nilijua ni yule mpuuzi aliyeleta uziUtakuwa hukunielewa,yaani nakuunga mkono kwenye comment yako halafu unanifokea?
Haya bhana!Samahani mkuu nimenukuu vibaya kiongozi nilijua ni yule mpuuzi aliyeleta uzi
Kutumia madaraka kwa upendeleo ni ufisadi. Itakuwaje kama kila mwenye madaraka atapendelea kwao zaidi? Wenye kutoa ajira wapendelee kwao , mawaziri wapendelee kwao, madaktari wapendelee kwao, na kadhalika? Usishabikie matumizi mabaya ya madaraka.
Abuse of power is corruption. TAKUKURU waangalie hili la Rais kutumia fedha za nchi kwa upendeleo.
Kama hayo yanayofanyika Chato yangefanyika huko,leo tusingekuwa na uwanja wa Mkapa pale DSM!Kwahiyo kwako wewe unafarijika sana kuona zilivyo
1. Musoma
2. Masasi
3. Bagamoyo
4. Mkuranga
Utakuwa hukunielewa,yaani nakuunga mkono kwenye comment yako halafu unanifokea?