Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 448
- 752
Kama hayo yanayofanyika Chato yangefanyika huko,leo tusingekuwa na uwanja wa Mkapa pale DSM!..
Wewe ndio,si kaku-quote wewe mwenzie [emoji23][emoji23]Mimi tena mkuu?
Una kiherehere,mtu kasharekebisha makosa yake na aliniquote kimakosa!Wewe ndio,si kaku-quote wewe mwenzie [emoji23][emoji23]
Kama hayo yanayofanyika Chato yangefanyika huko,leo tusingekuwa na uwanja wa Mkapa pale DSM!...
Yaani apeleke mamiradi ambayo hayana tija nyumbani kwake kisa tu ni head of state!Nyerere alipinga sana jambo hilo,miradi ifanyike kulingana na mahitaji ya wakati husika na vipaumbele!Lakini hafanyi Chato peke yake tunaona miradi kila sehemu. Huku Arusha tuna miradi mingi sana inaendelea na Mikoa mingine pia. Hivyo waliotangulia wamefanya makubwa sana kwa Tanzania ila walikuwa na nafasi pia yakufanya na maeneo wanayotoka. Mimi sifurahii kabisa jinsi Musoma, Mkuranga, Masasi na Bagamoyo zilivyo. Hapa siongelei kabisa mawaziri naongelea Head of States
"unaandika upuuzi upuuzi mkuu"[emoji23]Una kiherehere,mtu kasharekebisha makosa yake na aliniquote kimakosa!
Hapo roho yako imetakataa!!!!
Tukutane chillars pub jioni nikutoe bia mbili tatu ili siku yako uimalizie vizuri!"unaandika upuuzi upuuzi mkuu"[emoji23]
"unaonekana mzee lakini huna busara"[emoji23]
Weekend hii nina lock down kwa manzi flani mitaa ya k-nyama,kwa ninavyomjua Happy mambo yake hatoniruhusu nitoke mpaka j'pili jioni.Tukutane chillars pub jioni nikutoe bia mbili tatu ili siku yako uimalizie vizuri!
Nenda na kibegi umebeba PC,humo penyeza nguo za ziada!Weekend hii nina lock down kwa manzi flani mitaa ya k-nyama,kwa ninavyomjua Happy mambo yake hatoniruhusu nitoke mpaka j'pili jioni.
Anakatabia ka-kuloweka nguo kwenye beiseni[emoji23][emoji23]
Jua lenyewe linatoka kwa taabu zitakauka lini Mungu wangu[emoji23]
Si ajabu wewe ni darasa la saba, hivyo kujibizana na wewe ni kupoteza muda... Ignore ! and if comes worse, block!
MBA ya kupigia picha labda na sio ya reasoning.Ni MBA Holder najuwa ninachokiandika however even a STD Seven leaver could make same case - It doesn't need a rocket science to analyse that.