Namuunga mkono Rais Magufuli 100% kuendeleza Chato


..angesambaza miradi kwa maeneo mengine ya kanda ya ziwa, badala ya kulundika miradi Chato.
 
Nimeona taa za barabarani zikiongoza punda kule chattle.
 
Kama kweli unamuunga mkono sema tukakuchimbie kakaburi kadogo pembeni ya kaburi lake
 
You must be having a sick mind.
 
Na nyie mjenge makwenu muweke na miundombinu ya usafiri saaaafi, huduma za kijamii na nyumba za kutosha wenyeji na wageni maana ipo siku mtarushwa huko.

Na ni bahati wala sio ubaya na sio dhambi mtu akijiaaliwa kujiandalia mazingira safi ya kwenda kwenye makao yake ya kudumu?

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli
 
Muunge na miguu kwani shida ipo wapi?
Angebinuka kabisa,mpuuzi huyo.
Inamaana Mama naye sasa akawekeze Kiembesamaki (Airport/Veta/Hosp rufaa/Mahakama/benki/lami/trafic light etc)
Tutafika kweli!!
 
Usipojenga kwenu watakunanga
Ukijenga utanangwa
Dahh
Ubinadam kazi kweli

Ova
 
Pumbavu! muunge mkono Samia kuendeleza zenji!
 
Pumbavu! muunge mkono Samia kuendeleza zenji!

Mbona matusi Kiongozi? Kuwa na lugha ya staa inatosha kumrekebisha member mwenzako.
Asaante nadhani utajifunza au tukana tena uone moto wake
 
Mbona matusi Kiongozi? Kuwa na lugha ya staa inatosha kumrekebisha member mwenzako.
Asaante nadhani utajifunza au tukana tena uone moto wake
Mfate kaburini kabisa ili ukamuunge mkono anavyochomwa moto sadist yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…