Namwangalia kiungo Thadeo Lwanga akicheza vizuri bila bandeji mguuni akiwa na APR lakini alipokuwa Simba majeraha na bandeji haziishi

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kuna mchezo utakuwa unafanyika kwa wachezaji sio bure, kwa sababu naangalia mechi baina ya APR vs Singida Black Stars michuano ya cecafa usiku huu pale chamazi, Tadeo Lwanga anacheza vizuri t, hana majeraha wala mibandeji mguuni kama alivyokuwa Simba.

Alipokuwa Simba majeraha mwanaume huyu yalimuandamana had Simba wakaona bora wamuache, wengine walikuwa wanadai uchezaji wake wa rafu ndio ulisababisha awe anaumia, mbona ss hv hana majeraha.

Kuna nini pale Bunju kwa wachezaji, ngoj msimu uanze utaona wale ma Pro wapya Simba nao wataanza kuwa watu wa kuvaa mibandeji na majeraha kibao
 
Wewe jamaa umelelewa kwenye mazingira ya kichawi kichawi sana, huwezi ukafikri kitu nje ya uchawi?
 
Yule aliyekuwa anatuharibia viungo wakabaji alishaondolewa Yuko upande wa pili. Nilikuwa siamini hizi habari mpaka Fraga alipopata majeraha makubwa bila kuwa na mpira na akakaa nje muda mrefu mpaka mkataba ukasitishwa.
 
Back
Top Bottom