Namwona azizi ki..kengold inamsubiria kwa mkopo eng uza huyu mapema

Namwona azizi ki..kengold inamsubiria kwa mkopo eng uza huyu mapema

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwa yanayoendelea kwa kaka yetu

Sitoshangaa kusikia yanga amemtoa aziziz ki kwa mkopo kengold

USHAURI tu kama vipi Baba engn huyuu muuzen mapema kabisa

Hikituu anachokifanya Leo mkiona HATA WAZAZI HAWATAKI kusikia basi na YANGA mjiandae na MSIBA mtaniambia
Nikopale

Cc
Pdidyjr2025
 
Sioo kila mwanaume anaekutongoza anakupenda
 
Back
Top Bottom