Namwonea Huruma Maradona!!

Yes it is good, hajaficha hisia ya huzuni.
 
Ila jamaa kapata frastration sana, huenda akarudia kutumia drugs ili kupunguza msongo, maana huyu jamaa haeleweki!
 
Wacha karudi kwao...Kalikua kana vuvuzela sana Ergentina ikipata bao....kamedungwa nne,,,,,,,,,,,,,,TAAAAABAAAAANIIIIIIIIIIII
 
Wamenusuru asivue nguo kama alivyoahidi, Mungu hapendi mtu mzima atembee uchi hadharani jamani.😛ound:
 
tatizo la Maradona ni mbwembwe zilikuwa nyingi sana.
 
Ilikuwa zahma....
Hakutarajia kabisa..
 
Maradona kapata laana ya Pele kwa kumtukana!! Wakumuonea huruma ni Dunga wa Brazil kwani pale walipofungwa tu, akajua kitumbua kimeingia mchanga. Atajutia makosa ya kuwatema Gaucho na Adriano!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…