Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

Dogo acha utoto basi, muoe huyo kama humtaki achana nae tafuta wa saizi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaamua tu, wakwangu alipoamua alikuwa busy busy. Kwakuwa na mimi niko busy ilipita miezi mitatu sijamuona lakini tunaongea. Christmas na New Year nilikuwa na vi holiday kazini nikapanga plans niwe na mupenzi ndipo nilipojua he was long gone.
 
Mkuu hakika utajuta, hio sampuli ni nadra sana BUT achana nae chap watu wachukue nafasi na sio kuendelea kukomaa nae ilihali huna plan nae

Pia hicho kitu nawaza sana mkuu! madem wa sasa hivi %kubwa wapo kimaslahi mno nahofia kutompata kama huyu ambaye ntampenda.
 
Hujaamua tu, wakwangu alipoamua alikuwa busy busy. Kwakuwa na mimi niko busy ilipita miezi mitatu sijamuona lakini tunaongea. Christmas na New Year nilikuwa na vi holiday kazini nikapanga plans niwe na mupenzi ndipo nilipojua he was long gone.

Yani roho inaniuma kwasababu hajawahi nikosea na akinikosea basi ni haraka sana anaomba samahani hata kama kosa ni langu... ila ntajitaidi tu!
 
Yani roho inaniuma kwasababu hajawahi nikosea na akinikosea basi ni haraka sana anaomba samahani hata kama kosa ni langu... ila ntajitaidi tu!
Make up your mind utakuwa nae au unamuacha? Ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni.

Kwenye ndoa za amani na furaha ni umpate mwanamke anaekupenda. Atayavumilia mapungufu yako yote, iwe pesa, tendo la ndoa au kunuka mdomo.

Wengi wanaishi navwanawake wasiowapenda lakini wamewazoea kwakuwa mke anampenda kufa.

Fikiria mmegombana hamuongei ndani ya nyumba lakini amesikia mama yako ni mgonjwa amekimbia na kumuwahisha hospitali. Anamnunulia night dress mpya na vitenge, mswaki, lotion . Ukienda kumuona mama yako mwenyewe roho inaridhika ingawa ni mgonjwa lakini ni msafi.

Girl friend tafuta mzuri lakini tafuta mke anae kuelewa.
 

Ushauri wako ni mzuri sana 🤦🏾‍♂️kiukwel she love me then ni mcheshi yan anajielewa marafiki zangu huniambia nikiachana nae cto pata kama huyo kitu ambacho ndo kinanifanya niwe mwoga kufanya maamuzj magumu 🤦🏾‍♂️ mana naweza mwacha aende but end of the day nikataka kurudi ikawa mtu ashachukua dodo [emoji200]
 
Tunaumiza wanaotupenda na kuumizwa na tunaowapenda.
Ni heri umwambie ukweli mchungu kama ulivyosema apo juu,kuwa hata ukimuoa hutakuwa na furaha zaidi ndoa itaishia kuwa chungu kuliko kumwacha tuu hewani wakati hajawahi kukukosea chochote anaweza ata kupoteza uhai wake.
 
Wanawake wachache sana ambao wapo kama huyo hakika ipo siku utamkumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Muombe akupe tigo. Akikataa jidai ume maindi muachane na kama akikibali maindi pia na umtuhumu ndo michezo yake wewe huiwezi ila ulikua unataka kujua tu umejua anatoa ndogo unamuacha.
 
Wewe ni miongoni mwa wale anaowasema Faiza Fox kwamba mnaenda shule kujifunza ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…