Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,347
Hivi nilazima uweke comment yako? Kama huna si unyamaze ....alafu wewe unaowapenda wote unawafahamu?....Vijana wa mwendo kasi hawa wanaitwa.... unampendaje mtu usiemjua wewe
Aaaah... sawa mkuuHivi nilazima uweke comment yako? Kama huna si unyamaze ....alafu wewe unaowapenda wote unawafahamu?....
Samahani Mimi sio kijana heshima ifate mkondo wake ..huyu binti nimependa sauti yake na utangazaji wake...
Kwajinsi wabongo walivyo usishangae hata wasiomjua wakikuambia ni Msagaji.
Hawashindwi kabisaKwajinsi wabongo walivyo usishangae hata wasiomjua wakikuambia ni Msagaji.
Hahaha, ungesema hivi tokea mwanzo na pia kwani Wazee hawapendi,? Unajikanyaga kanyaga.Hivi nilazima uweke comment yako? Kama huna si unyamaze ....alafu wewe unaowapenda wote unawafahamu?....
Samahani Mimi sio kijana heshima ifate mkondo wake ..huyu binti nimependa sauti yake na utangazaji wake...
Njoo nikukanyage kanyage na weweHahaha, ungesema hivi tokea mwanzo na pia kwani Wazee hawapendi,? Unajikanyaga kanyaga.
Sina nisaidie kama unayoMleta thread unaniaibisha yaani thread kama hii halafu haina picha
ok penda pendaHabari......
wakuu naomba kuuliza kwa anayemfahamu mtangazaji wa east Africa radio scola kisanga. Sihitaji details zake lakini aweke picha yake tu kwani namzimia huyu Dada alafu nilimfollow IG akaniignore kabisaaaa lakini nampenda sijui kwa nini.... kama scola upo huku ujumbe utakuwa umeupata
tanzania ya viwanda hiyo! mawazo strategic kwa uchumi wetu safi endelea kuzimia.Habari......
wakuu naomba kuuliza kwa anayemfahamu mtangazaji wa east Africa radio scola kisanga. Sihitaji details zake lakini aweke picha yake tu kwani namzimia huyu Dada alafu nilimfollow IG akaniignore kabisaaaa lakini nampenda sijui kwa nini.... kama scola upo huku ujumbe utakuwa umeupata
daaa nimekuja mbio nikajua umeweka picha mkuu.....Habari......
wakuu naomba kuuliza kwa anayemfahamu mtangazaji wa east Africa radio scola kisanga. Sihitaji details zake lakini aweke picha yake tu kwani namzimia huyu Dada alafu nilimfollow IG akaniignore kabisaaaa lakini nampenda sijui kwa nini.... kama scola upo huku ujumbe utakuwa umeupata
Au ni wewe mwenyewe!Habari......
wakuu naomba kuuliza kwa anayemfahamu mtangazaji wa east Africa radio scola kisanga. Sihitaji details zake lakini aweke picha yake tu kwani namzimia huyu Dada alafu nilimfollow IG akaniignore kabisaaaa lakini nampenda sijui kwa nini.... kama scola upo huku ujumbe utakuwa umeupata
Huyu binti anajua sana kutangaza na sauti yake ina nivutia sana hunifanya nisikilize EA DRIVE(NDINGA) halafu kipindi chao ni moja ya vipindi bora vya jioni kuna ubunifu wa pekee,,Habari......
wakuu naomba kuuliza kwa anayemfahamu mtangazaji wa east Africa radio scola kisanga. Sihitaji details zake lakini aweke picha yake tu kwani namzimia huyu Dada alafu nilimfollow IG akaniignore kabisaaaa lakini nampenda sijui kwa nini.... kama scola upo huku ujumbe utakuwa umeupata
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ni wakauwaida tu kumbe ila kama hajaolewa kuwa na mke mtangazaji napenda pia. Njoo inbox binti