Haroun jotham Member Joined Dec 1, 2011 Posts 49 Reaction score 2 Sep 29, 2012 #1 Mwenye habar yeyote kuhus kufanyika kwa necta 4m6 inafanyika mwez wa 5 au wa2. Na ratiba ilisha tokaga ktmbo ya mwz wa2! Mchango wnu wana jf
Mwenye habar yeyote kuhus kufanyika kwa necta 4m6 inafanyika mwez wa 5 au wa2. Na ratiba ilisha tokaga ktmbo ya mwz wa2! Mchango wnu wana jf
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 Sep 29, 2012 #2 Mjadala huu umeelezwa kwa kina kule kwenye Jukwaa la Elimu, pia kuna habari iliyoandikwa na The Guardian la jana. Nenda huko Elimu utapata jibu kwa urahisi kabisa.
Mjadala huu umeelezwa kwa kina kule kwenye Jukwaa la Elimu, pia kuna habari iliyoandikwa na The Guardian la jana. Nenda huko Elimu utapata jibu kwa urahisi kabisa.