Nan mkali, Rayvan vs Rich mavoko

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Baada ya ule mtanange wa hapo awali kati ya rayvan na harmonize na rayvan kumkimbiza vibaya sana mmakonde harmonize , leo nimewaletea mtanange mpya kati RAYVAN na RICHARD MAVOKO


Yupi unamuona mkali kuliko mwengine kuanzia uimbaji, uvaaji, performance jukwaani, na madoido ya hapa na pale


Karibuni




Rich mavoko



Rayvan

























 
Hivi madoido ndio swagg?

Au swagg ni mikogo?
Samahani kabla sijapiga kura
 
We jamaa ushakuwa tatizo, sio lazima uwe unapost kila saa matokeo yake ndio haya unapost pumba
 
Aisee mavoko sio wa kumfananisha Na ray bhana
Mavoko anajua sanaaaa labda useme mavoko vs diamond
 
We jamaa ushakuwa tatizo, sio lazima uwe unapost kila saa matokeo yake ndio haya unapost pumba
Oi mbona unapenda sana kukandia nyuzi zangu si mara ya kwanza hii, mimi mbona nyuzi zako na post zako na reply vizuri tu


Tuliza mshono kama vipi alafu fuata yako usipende kuniamuru niandike nini Kenge mkubwa wewe
 
mavoko ni fundi huyu jamaa yeye hanaga kiki ila anautunzi umesimama vibao kama silali, roho yangu,na ibaki story umemkosea heshima mavoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…