Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Itakuwa ni hapa ngurdoto mountain lodgeView attachment 362019
Mkuu Ni Ngarasero Lodge hiyo...Hahahahaha Arushaaaa
Nimeamini Arusha kuna maeneo ni kama Ulaya.
edenNadhani ni Arusha (am not so very sure)
Mkuu Ni Ngarasero Lodge hiyo...
Mazingira mazuri yametulia kijani kitupuHapo ni Ngarasero mountain lodge.
Karibu Arusha....Mazingira mazuri yametulia kijani kitupu
Asante mkuu mazingira yanavutia mno aisee utafikiri sio TanzaniaKaribu Arusha....
Sijamuona hata Dada yake Nakaaya Sumari...Hivi bifu lao bado halijaishaga ehh..Kapendeza sana na hongera ila Nancy inaonyesha ana mind marafiki kuliko ndugu sijawahi ona mmeru huyu ana roho ngumu aisee.
Watu wadai Luca alikuwaga wa nakaaya. Ila hapo tu kwa sista ake kutokuhudhuria kuna jambo aisee naona Nancy hu mind mashosti kuliko ndugu.Sijamuona hata Dada yake Nakaaya Sumari...Hivi bifu lao bado halijaishaga ehh..
Sana tu Nancy kapendeza mno harusi classic hiiMmmh jamani wamependeza+ mazingira mwaaaah. Yani hadi nimetamani lol[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85]
Kakope 7milns ziwe mkononi mapemaaaMola ajalie muungano huu usije kua kama wa Tanganyika na Zanzibar!
Yani everything on point. Sina hata cha kuongezea. .....daah kuna sehemu nzuri jamani utadhani sio TZSana tu Nancy kapendeza mno harusi classic hii
Harusi imependeza mno hasa mavazi and everything. Hayo mazingira yapo kiulaya ulaya flani hivi.Yani everything on point. Sina hata cha kuongezea. .....daah kuna sehemu nzuri jamani utadhani sio TZ
"Flawless"Harusi imependeza mno hasa mavazi and everything. Hayo mazingira yapo kiulaya ulaya flani hivi.