Tetesi: NANDI na BILLNAS kufunga ndoa Kesho 25/June

Tetesi: NANDI na BILLNAS kufunga ndoa Kesho 25/June

Harusi ya kutrend hiyo mitandaoni.. kama nawaona kanisanii na sutiii zao na shelaaa.. billnass anamfununua shela bibi harus wake then ana kiss the bride kihalali mbele ya mchungaji na wazaz wote

Harusi ya kikristo ni ngumu sana mkataba wake wa mpaka kifo.. ila inapendeza sana heka heka zake za inapokuwa inafungwaaa madhabahunii kuanzia mavazii ya kutokelezea mpaka kanisa linavyopambwaa

Kila la heri kwao
 
Acha uongo wako wee, kesho ni kitchen party, na itakua live kwenye Tv ikirushwa na channel ya Bona TV.

Haya hiyo ndoa wee umesikia na kuambiwa na nani? Lol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
on and off couple msije tu mkaletea utani madhabahu kila lenye kheri
 
Back
Top Bottom