NANDIKA NiKIWA SITE

tungatagaga

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2024
Posts
686
Reaction score
928
Niko safarini ndani ya basi kutoka Mbeya kwenda Dar.Nimegundua vyashiria vikubwa vya ajali.
Chaashiria kwa Kwanza katika Barbara hii ni ufinyu wa barabara. Chaashiria kingine ni traffic ya malori yanayoenda na kutoka Dar.malori haya hukaribiana sana barabarani hivyo kuondoka uwezekano wa kuovertake kwa sababu barabara ni finyu.
Kulazimisha overtake si uzembe wa dreva ikiwa barabara haijafanyiwa maboresho muda mrefu na wakati huo basi Iko katika ratiba ya kurudi siku hiyo hiyo.
Endapo barabara hii ingepanuliwa ajali zinazosababisha na overtake zingekuwa mdogo sana
Sasa hivi namwona dreva wetu akiovertake kwa shida akidhani mbele yake ni gari Moja kumbe ziko tatu zimefuatana
 
Hapo mbeya si walikuwa wanajenga barabara imekuaje nazungumzia upanuzi wa barabara
 
Mkuu uandishi wako unaashiria ulikuwa ukiandika ukuwa hauko katika hali ya utulivu,inawezekana ni mtikisiko wa gari au haraka ya kuwahi kupost thread,embu sona kwa makini mwenyewe ulichoandika
 
Ni bora ww sfari za asbuh, uono wa dereva ni mkubwa, kulk safar za usiku
 
Sasa hivi namwona dreva wetu akiovertake kwa shida akidhani mbele yake ni gari Moja kumbe ziko tatu zimefuatana
 
Sindikiza na picha au video tukusaidie kuweka maelezo
 
Mkuu uandishi wako unaashiria ulikuwa ukiandika ukuwa hauko katika hali ya utulivu,inawezekana ni mtikisiko wa gari au haraka ya kuwahi kupost thread,embu sona kwa makini mwenyewe ulichoandika
Hiyo nayo ni "Chaashiria"
 
ok.
pamoja na hayo ni vizuri zaidi kuzingatia sheria za usalama barabarani πŸ’
 
Chaashiria cha tatu; Barabara zina mashimo,hadi mwandishi anashindwa kuandika vizuri.
 
"KULAZIMISHA OVERTAKE SIO UZEMBE WA DEREVA"
we bwana una vituko.haya RIP in advance
 
Idiot!,wewe unizingatia sheria za ku better watch your back
saa zingine ajali husababishwa na roho wabaya au roho wa mauti, mathalani usafiri pamoja na EvilSpirit kwenye basi moja kutoka Mbeya had Dar, unaweza kukosa ajali kweli?πŸ’
 
hiyo barabara kwa kweli ni changamoto inabidi ifanyiwe ukarabati na upanuzi ni kama vile imetelekezwa hasa kwa kuanzia mpaka wa mkoa wa Dar na Pwani mpaka chalinze na kuendelea hali ni tete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…