Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Hmmm...umetaja maini umenitamanisha maana sijala maini siku nyingi sana π.
Hmmm...umetaja maini umenitamanisha maana sijala maini siku nyingi sana π.
Wewe Bubu uko wapi huko wewe wasikouza maini? Uko North Dakota nini?
Maini ya kupika mwenyewe ni tofauti sijui kwa nini....basi wee kama upo karibu na DC inabidi utembeleee Nando's aisee wana maini ya kufa mtu si utani!....
Hivyo North Dakota hawana maini?are you for REAL?wooooooow!
DC mitaani gani, Anacosia?
Wewe Bubu uko wapi huko wewe wasikouza maini? Uko North Dakota nini?
Kwa muuza nyama wangu ana maini safi sana nashangaa kwanini imepita siku zote hizi sijanunua, maana hununua nyama hapo kila baada ya miezi miwili. Mimi hupenda kuyakaanga na mlima wa ugali ukitoka hapo raha mustarehe. Jumamosi hii ni lazima nikayachangamkie.
Hata North Dakota yapo maini.Wewe Bubu uko wapi huko wewe wasikouza maini? Uko North Dakota nini?
Hata North Dakota yapo maini.
Mimi ni mpenzi sana wa nando's (sijui niite restaurant au fast food)...Kuna nando's in London na huwa nikienda london ni lazima niende Nando's wana maini mazuri sana pamoja na kuku zao astahafulilahi....Sasa nasikia wamefungua moja hapo chocolate city (DC)...sijui kama ni mwanzo tuu ila its only one for now in USA...na ipo parked all times....ipo mitaa karibu na white house huko DC
Just FYI ukiwa mitaa ya DC kama hujawhai kwenda nando's try it now....achana na SAFARI sijui nini mambo yote yako Nando's only...I cant wait waje wafungue huku Midiwest...itakuwa blaah!.