Msanii wa Bongo Fleva ameonyesha bado ameshindwa ku move on kutokana na kufiwa na aliekuwa mpenzi wake na boss wa Clouds Media marehemu Ruge Mutahaba.
Kupitia Instagram Nandy amepost Nyumba iliyokuwa mwanzoni anajengewa na Ruge Huku pia akionyesha alivyommiss.
Mbona asaiv tena ndio anasema kama alifanyiwa yote na ruge angeacha tu kuwa siri akaja kusema kajenga mwenyewe kwa nguvu zake bila hata sisi kujua nn kinaendelea maisha n siri endelea nandy kutuficha tu
Nyuma ya mafanikio ya baadhi ya dada zetu walio wengi ,basi ujue kuna danga la nguvu .Ila ndio nimekuja kugundua kwa nini watoto wakike ni wachache wanaotusua kwenye mziki.
Wenye watoto wa kike tuna mitihani sana dah ukitafuta domain na range za umri na kutumika kwa Ruge na Nandi na anavyoona fahari kutangazia dunia unapata kizunguzungu