Agnes umependezaLabda wanasema mjane kaachwa mtupu wakati wake wenzie wakina zamaradi wameachiwa vya kutosha..
Kaamua kuwajibu nahisi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitaje
Kwani Nandy ana miaka mingapi ?Wenye watoto wa kike tuna mitihani sana dah ukitafuta domain na range za umri na kutumika kwa Ruge na Nandi na anavyoona fahari kutangazia dunia unapata kizunguzungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu madam aggy.
Atafute sponsor mwingine mjini pagumu.Msanii wa Bongo Fleva ameonyesha bado ameshindwa ku move on kutokana na kufiwa na aliekuwa mpenzi wake na boss wa Clouds Media marehemu Ruge Mutahaba.
Kupitia Instagram Nandy amepost Nyumba iliyokuwa mwanzoni anajengewa na Ruge Huku pia akionyesha alivyommiss.View attachment 1070266View attachment 1070267View attachment 1070268View attachment 1070269
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana kama miaka mingapi ?Nandy bado mtoto,sasa sijui kapata nini kuujulisha umma haya mambo? mweeh
Umeona mbali mkuu.
Kama kipi mama Sabrina.
Ndio maishaKuna waliochanga kumuchangia mgonjwa apate matibabu kule kusini mwa Africa
Kuna waliokua wanajengewa nyumba na mgonjwa aliekua anaombewa achangiwe
#Ama kweli DUNIA UWANJA WA FUJO
It's nature....wanawake siku zote hutegemea wanaume kuendesha maisha yaoNyuma ya mafanikio ya baadhi ya dada zetu walio wengi ,basi ujue kuna danga la nguvu .Ila ndio nimekuja kugundua kwa nini watoto wakike ni wachache wanaotusua kwenye mziki.