Msanii Nandy asifia uwezo wa Zuchu kimziki "Mimi Kama mwanamziki inaweza kuwa ngumu kusifia kazi za mwenzangu lakini kwa Zuchu kiukwel anajua Sana, Cha msingi ajitahidi kufanya vizuri atafika mbali Sana maana Mimi Ni mshabiki wake pia"
Ikumbukwe pia nandy na Zuchu walikuwepo wote kwa pamoja kwenye shindano la Tecno own stage lililofanyika nchini Nigeria chini ya majaji sauti sol na Yemi alade, Na kwa East Africa Ni wao pekee ndio waliopata nafasi kushiriki.
NB: Naona Nandy ameonesha mature lakini amefuta kiasi fulani ile kauli ya wanawake kwa wanawake hawapendani ila kwa upande sijawahi kuona msanii akimsifia msanii mwingine especially kwa wanawake hii ni Mara ya kwanza.