Nandy avua nguo jukwaani

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
Mwanadada Nandy amejikuta akivua nguoa na kubaki na nguo za ndani baada ya kupanda jukwaani na kuimba nyimbo zilizowapandisha mzuka mashabiki wake na kuanza kumshangilia kwa nguvvu na kujikita akianza kurusha kiatu na kufikia kuvua nguo.

Mambo hayo yametokea alipokuwa akifanya show huko mkoani Tarime maeneo ya Nyamongo ambapo alipoanza kuimba na mashabiki zake kumshangilia kwa mzuka sana ndipo alipojikuta akianza kuvua kitu kimoja na kukirusha na hata baada kuvua nguo ya juu na kubaki na nguo ya ndani.

Hata baada ya kumaliza sho, katika ukurasa wake wa instagram nandy alionyesha jinsi gani alifurahia show hiyo na kuandika kuwa ‘Juhudui huzidi kipaji, asanteni sana watu wa nyamongo”
 

Atateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya.
 
Ungewekamo hata picha ya kipindi kile na Bilinenga nyoyo zetu zingetulia kidogo
 
Bila picha ni bora usinge post thread
Habari bila picha hainogi
Picha ziko wapi sasa?
Nimekuja fasta nikajua ntaliona lile lichupi kumbe porojo tu.
Picha wakati anavua nguo ziko wapi......hivi kwann watu mmekua wambea na waongo???
Wajumbe mko makini sana, ningeshangaa nisingeona hoja kama hii..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…