Mkuu umekazia ki styleWajumbe mko makini sana, ningeshangaa nisingeona hoja kama hii..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ameshonesha gwanda za kutoshaMi nashangaa yale Magwanda ya Kangi Lugola tu, hivi anayafua saa ngapi?
Tanzania communication regulatory authorityTCRA
Hahaha!!!!mtoa mada hizo pics umepigia nyeto ?
ulijua utamuona bolo young mdogoNimekuja fasta nikajua ntaliona lile lichupi kumbe porojo tu.